September 3, 2015

Watoto yatima Patandi waomba wadau wa Maendeleo kuwasaidia mahitaji ya msingi kukabiliana na mazingira duni

Watoto  wanaotunzwa na Kituo cha watoto yatima Patandi wakiwa katika moja ya hafula ya chakula cha pamoja na wadau wa maendeleo  wa Halmashauri ya Meru,waomba  jamii iwasaidie kukabiliana na hali duni ya maisha

No comments:

Post a Comment