Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha .Dr.Charles Mahera akikabidhi mbuzi kwa wananchi kutoka kaya Maskini,katika Kijiji Ch Imbibia Wilaya ya Arumeru . |
Wananchi wa Kijiji cha Imbibia kutoka Kaya Maskini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha ,kabla ya kuanza kuwakabidhi Mbuzi wanaotokana na mradi wa TASAF III |
Viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Arusha wanaosimamia mradi wa TASAF III wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa mradi wa TASAF katika kijiji cha Imbibia . |
No comments:
Post a Comment