September 11, 2015

Wachungaji ,Maaskofu ,Mashehe na Viongozi wa Dini wakiwa ,wanajiandaa kucheza mpira katika Uwanja wa Sheikh Amir Abeid

Wachungaji ,Maaskofu na Mashehe wakiwa wanasali ,kabla ya kuanza kucheza mpira katika Uwanja wa Sheikh Amir Abeid ,mchezo wenye lengo la kuimarisha mahusiano na kusisitiza Amani kwa Dini mbali mbali

No comments:

Post a Comment