Mjumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Samweli Shamy aliyehama chama hicho na kuhamia ACT mzalendo kwa madai ya kunyanyaswa na kunyimwa haki yake Msingi ya kuwaletea wananchi maendeleo kupitia nafasi ya Udiwani wa Kata ya Nkwandurua ,mara baada ya kumaliza mahojiano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa PIAZA Wilaya ya Arumeru
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 week ago
karibu kwa wazalendo
ReplyDelete