Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Afrika Mashariki Mh.Bernard Murunya akikabidhi Pikipiki akiwa ni mgeni rasm , akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana nje ya Makao makuu ya chama hicho jijini Arusha, Pikipiki hiyo ni miongoni mwa Pikipiki Saba zinazotakiwa kugawanya katika Wilaya za Mkoa wa Arusha
MALIZA WIKENDI YAKO NA MERIDIANBET
-
KAMA unataka kumaliza wikendi yako vizuri leo hii, wewe suka jamvi lako na
wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo nafasi ya kuibuka bingwa unayo leo
maa...
41 minutes ago
No comments:
Post a Comment