July 3, 2015

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Akabidhi Pipiki, Jijini Arusha




Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Afrika Mashariki  Mh.Bernard Murunya akikabidhi Pikipiki akiwa ni mgeni rasm , akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana nje ya  Makao makuu ya chama  hicho jijini Arusha,  Pikipiki hiyo  ni miongoni mwa Pikipiki Saba zinazotakiwa kugawanya katika Wilaya za Mkoa wa Arusha