March 2, 2017

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha ,Charles Mahera akabidhi mbuzi wenye thamani ya Tshs 20,409,470 .89 kwa kaya maskini Imbibia ,Wilaya ya Arumeru ,Mkoa wa Arusha

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha .Dr.Charles Mahera akikabidhi mbuzi kwa wananchi kutoka kaya Maskini,katika Kijiji Ch Imbibia Wilaya ya Arumeru .
 

Wananchi wa Kijiji cha Imbibia kutoka Kaya Maskini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha ,kabla ya kuanza kuwakabidhi Mbuzi wanaotokana na mradi wa TASAF III
 

Viongozi na watumishi  wa Halmashauri ya Arusha wanaosimamia mradi wa TASAF III wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa mradi wa TASAF katika kijiji cha Imbibia .